Maombolezo 1:15
“Bwana amewakataa wapiganaji wa vita 2 wote walio kati yangu, 1 ameagiza jeshi dhidi yangu 2 kuwaponda vijana wangu wa kiume. 1 Katika shinikizo lake la divai Bwana amemkanyaga 2 Bikira Binti Yuda. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 10:8ambao waliwaonea na kuwatesa mwaka ule. Kwa miaka kumi na minane wakawatesa Waisraeli wote upande wa mashariki ya Mto Yordani katika Gileadi, nchi ya Waamori.
2 Kings 24:14Akawachukua watu wa Yerusalemu wote kwenda uhamishoni: yaani maafisa wote na mashujaa, watu wenye ustadi na ufundi, jumla yao watu elfu kumi. Watu maskini sana ndio tu waliobaki katika nchi.
Psalms 119:118Unawakataa wote wanaoyaasi maagizo yako, 2 kwa maana udanganyifu wao ni bure. 1
Isaiah 28:18Agano lenu na kifo litabatilishwa, 2 patano lenu na kuzimu halitasimama. 1 Wakati pigo lifurikalo litakapowakumba, 2 litawaangusha chini. 1
Isaiah 63:3“Nimekanyaga shinikizo la zabibu peke yangu; 2 kutoka mataifa hakuna mtu aliyekuwa pamoja nami. 1 Nimewaponda kwa miguu katika hasira yangu 2 na kuwakanyaga chini katika ghadhabu yangu; 1 damu yao ilitia matone kwenye mavazi yangu, 2 na kutia madoa nguo zangu zote. 1
Jeremiah 18:21Kwa hiyo uwaache watoto wao waone njaa; 2 uwaache wauawe kwa makali ya upanga. 1 Wake zao wasiwe na watoto, na wawe wajane; 2 waume wao wauawe, 1 nao vijana wao waume 2 wachinjwe kwa upanga vitani. 1