Joel 3:14
Umati mkubwa, umati mkubwa 2 katika bonde la uamuzi! 1 Kwa kuwa siku ya Bwana ni karibu 2 katika bonde la uamuzi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Jua na mwezi vitatiwa giza, 2 na nyota hazitatoa mwanga wake tena. 1
Cross References
Isaiah 34:2Bwana ameyakasirikia mataifa yote; 2 ghadhabu yake ni juu ya majeshi yao yote. 1 Atawaangamiza kabisa, 2 atawatia mikononi mwa wachinjaji. 1
Ezekiel 38:8Baada ya siku nyingi utaitwa vitani. Katika miaka ijayo, utaivamia nchi ile ambayo imepona kutoka vita, ambayo watu wake walikusanywa kutoka mataifa mengi kuja katika milima ya Israeli, ambayo kwa muda mrefu ilikuwa imeachwa ukiwa. Wameletwa kutoka mataifa na sasa wote wanaishi katika hali ya salama.
Joel 1:15Ole kwa siku hiyo! 2 Kwa kuwa siku ya Bwana iko karibu; 1 itakuja kama uharibifu 2 kutoka kwa Mwenyezi. + 1:15 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1
Joel 3:2nitayakusanya mataifa yote na kuyaleta 2 katika Bonde la Yehoshafati + 3:2 Yehoshafati maana yake Bwana huhukumu. 1 Hapo nitaingia kwenye hukumu dhidi yao 2 kuhusu urithi wangu, watu wangu Israeli, 1 kwa kuwa waliwatawanya watu wangu 2 miongoni mwa mataifa 2 na kuigawa nchi yangu. 1
2 Peter 3:7Lakini kwa neno lilo hilo, mbingu za sasa na dunia zimewekwa akiba kwa ajili ya moto, zikihifadhiwa hadi siku ile ya hukumu na ya kuangamizwa kwa watu wasiomcha Mungu.
Revelation 19:19Kisha nikamwona yule mnyama na wafalme wa dunia pamoja na majeshi yao wakiwa wamekusanyika pamoja ili kufanya vita dhidi ya yule aliyempanda farasi pamoja na jeshi lake.