The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 10 › John 10:26

John 10:26

Lakini hamwamini, kwa sababu ninyi si wa kundi la kondoo wangu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But ye believe not, because ye are not of my sheep, as I said unto you.

In Context

25Yesu akawajibu, “Nimewaambia, lakini hamwamini. Mambo ninayoyatenda kwa jina la Baba yangu yananishuhudia.

27Kondoo wangu huisikia sauti yangu nami nawajua, nao hunifuata,

Read all of John 10

Cross References

John 6:37Wale wote anipao Baba watakuja kwangu na yeyote ajaye kwangu, sitamfukuzia nje kamwe.

John 6:65Akaendelea kusema, “Hii ndiyo sababu niliwaambia kwamba hakuna mtu awezaye kuja kwangu isipokuwa amejaliwa na Baba yangu.”

John 10:4Akiisha kuwatoa wote nje, hutangulia mbele yao na kondoo humfuata kwa kuwa wanaijua sauti yake.

John 12:37Hata baada ya Yesu kufanya miujiza hii yote mbele yao, bado hawakumwamini.

2 Corinthians 4:3Hata nayo Injili yetu kama imetiwa utaji, ni kwa wale tu wanaopotea.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 10:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 10:25John 10John 10:27 →