John 16:7
Lakini nawaambia kweli, yafaa mimi niondoke, kwa kuwa nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu, lakini nikienda nitamtuma kwenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Kwa sababu nimewaambia mambo haya, mioyo yenu imejawa na huzuni.
8Naye atakapokuja, atauthibitishia ulimwengu kuhusu dhambi, haki na hukumu.
Cross References
Psalms 68:18Ulipopanda juu, uliteka mateka, 2 ukapokea vipawa kutoka kwa wanadamu, 1 hata kutoka kwa wale walioasi, 2 ili wewe, Ee Bwana Mungu, upate kuishi huko. 1
Luke 9:27Amin, nawaambia, wako baadhi ya watu waliosimama hapa ambao hawataonja mauti kabla ya kuuona Ufalme wa Mungu.” 1 Bwana Yesu Abadilika Sura (Mathayo 17:1-8; Marko 9:2-8)
John 7:39Yesu aliposema haya alimaanisha Roho Mtakatifu ambaye wote waliomwamini wangempokea, kwani mpaka wakati huo, Roho alikuwa hajatolewa, kwa kuwa Yesu alikuwa bado hajatukuzwa. 1 Mgawanyiko Miongoni Mwa Watu
John 11:50Hamjui kwamba ni afadhali mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, kuliko taifa lote liangamie?”
John 14:16Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine akae nanyi milele.
John 14:28“Mlinisikia nikisema, ‘Ninakwenda zangu, lakini nitarudi tena.’ Kama kweli mngelinipenda mngelifurahi kwa kuwa naenda kwa Baba, kwani Baba ni mkuu kuniliko mimi.