John 20:15
Yesu akamwambia, “Mwanamke, mbona unalia? Unamtafuta nani?” Maria akidhani ya kuwa aliyekuwa anaongea naye ni mtunza bustani, kwa hiyo akamwambia, “Bwana, kama ni wewe umemchukua, tafadhali nionyeshe ulikomweka, nami nitamchukua.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Baada ya kusema hayo, akageuka, akamwona Yesu amesimama, lakini hakumtambua.
Cross References
Song of Solomon 3:2Sasa nitaondoka na kuzunguka mjini, 2 katika barabara zake na viwanja; 1 nitamtafuta yule moyo wangu umpendaye. 2 Kwa hiyo nilimtafuta lakini sikumpata. 1
Matthew 12:34Enyi uzao wa nyoka! Mnawezaje kunena mambo mema, wakati ninyi ni waovu? Kwa maana kinywa cha mtu huyanena yale yaliyoujaza moyo wake.
Mark 16:6Yule malaika akawaambia, “Msistaajabu. Mnamtafuta Yesu, Mnazareti, aliyesulubiwa. Amefufuka! Hayuko hapa. Tazameni mahali walipomlaza.
John 1:38Yesu akageuka, akawaona wakimfuata akawauliza, “Mnataka nini?” Wakamwambia, “Rabi,” (maana yake Mwalimu), “Unaishi wapi?”
John 18:7Akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Nao wakamjibu, “Yesu wa Nazareti.”