The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 20 › John 20:14

John 20:14

Baada ya kusema hayo, akageuka, akamwona Yesu amesimama, lakini hakumtambua.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And when she had thus said, she turned herself back, and saw Jesus standing, and knew not that it was Jesus.

In Context

13Wakamuuliza Maria, “Mwanamke, mbona unalia?” Akawaambia, “Nalia kwa kuwa wamemchukua Bwana wangu na sijui walikomweka.”

15Yesu akamwambia, “Mwanamke, mbona unalia? Unamtafuta nani?” Maria akidhani ya kuwa aliyekuwa anaongea naye ni mtunza bustani, kwa hiyo akamwambia, “Bwana, kama ni wewe umemchukua, tafadhali nionyeshe ulikomweka, nami nitamchukua.”

Read all of John 20

Cross References

Song of Solomon 3:3Walinzi walinikuta 2 walipokuwa wakizunguka mji. 1 Nikawauliza, “Je, mmemwona 2 yule moyo wangu umpendaye?” 1

Mark 16:9Yesu alipofufuka alfajiri na mapema siku ya kwanza ya juma alimtokea kwanza Maria Magdalene, yule ambaye alikuwa amemtoa pepo wachafu saba.

Luke 4:30Lakini yeye akapita papo hapo katikati ya huo umati wa watu akaenda zake. 1 Yesu Atoa Pepo Mchafu (Marko 1:21-28)

Luke 24:31Ndipo macho yao yakafumbuliwa, nao wakamtambua, naye akatoweka machoni pao. Hawakumwona tena.

John 21:4Mara baada ya kupambazuka, Yesu akasimama ufuoni, lakini wanafunzi hawakumtambua kwamba alikuwa Yesu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 20:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 20:13John 20John 20:15 →