John 7:44
Baadhi yao walitaka kumkamata, lakini hakuna aliyethubutu kumgusa. 1 Kutokuamini Kwa Viongozi Wa Wayahudi
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And some of them would have taken him; but no man laid hands on him.
In Context
43Kwa hiyo watu wakagawanyika kwa ajili ya Yesu.
Cross References
John 8:20Yesu alisema maneno haya alipokuwa akifundisha katika chumba cha hazina Hekaluni. Lakini hakuna mtu aliyemkamata kwa kuwa saa yake ilikuwa haijawadia. 1 Yesu Atabiri Kifo Chake Mwenyewe
Acts 18:10kwa maana mimi niko pamoja nawe, wala hakuna mtu atakayeweza kukushambulia ili kukudhuru, kwa kuwa ninao watu wengi katika mji huu ambao ni watu wangu.”
Acts 27:23Jana usiku, malaika wa Mungu yule ambaye mimi ni wake na ambaye ninamwabudu alisimama karibu nami,