Joshua 22:21
Ndipo Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase walipowajibu viongozi wa koo za Israeli, wakisema:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 18:21Lakini uchague watu wenye uwezo miongoni mwa watu wote, watu wanaomwogopa Mungu, watu waaminifu wanaochukia mali ya dhuluma, uwateuwe wawe maafisa juu ya maelfu, mamia, hamsini na makumi.
Proverbs 16:1Mipango ya moyoni ni ya mwanadamu, 2 bali jibu la ulimi hutoka kwa Bwana. 1
Proverbs 24:26Jawabu la uaminifu 2 ni kama busu la midomoni. 1
Acts 11:4Ndipo Petro akaanza kuwaeleza kuhusu mambo yote yalivyotokea hatua kwa hatua akisema,
1 Peter 3:15Bali mtakaseni Kristo kuwa Bwana mioyoni mwenu. Siku zote mwe tayari kumjibu mtu yeyote atakayewauliza kuhusu sababu ya tumaini lililomo ndani yenu. Lakini fanyeni hivyo kwa upole na kwa heshima,