Yoshua 8:14
Mfalme wa Ai alipoona jambo hili, yeye pamoja na watu wote wa mji wakatoka kwa haraka asubuhi na mapema, ili kukutana na Israeli katika vita mahali fulani panapotazamana na Araba. Lakini hakujua kwamba kulikuwa kumewekwa waviziaji dhidi yake nyuma ya mji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Yoshua na Israeli wote wakaruhusu kurudishwa nyuma mbele yao, na kuelekea jangwani.
Cross References
Deuteronomy 1:1Haya ni maneno Mose aliyoyasema kwa Israeli yote jangwani mashariki ya Yordani, ambayo iko Araba, inayokabiliana na Sufu, kati ya Parani na Tofeli, Labani, Haserothi na Dizahabu.
Joshua 8:16Watu wote wa Ai wakaitwa ili kuwafuatia, nao wakavutwa kumfuatia Yoshua mbali na mji.
Judges 20:37Wale waviziaji wakafanya haraka kuingia Gibea, wakasambaa na kuwaua watu wote wa mji kwa upanga.
Isaiah 19:11Maafisa wa Soani ni wapumbavu kabisa, 2 washauri wa Farao wenye busara wanatoa ushauri wa kijinga. 1 Unawezaje kumwambia Farao, 2 “Mimi ni mmojawapo wa watu wenye hekima, 2 mwanafunzi wa wafalme wa zamani”? 1
Daniel 4:31Maneno hayo yalikuwa bado katika midomo yake wakati sauti ilipokuja kutoka mbinguni, ikisema, “Mfalme Nebukadneza, hiki ndicho kilichoamriwa kwa ajili yako: Mamlaka yako ya ufalme yameondolewa kutoka kwako.
Matthew 24:50Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua.