The Bible Software
bible.softwareMaombolezoMaombolezo 1 › Maombolezo 1:10

Maombolezo 1:10

Adui ametia mikono 2 juu ya hazina zake zote, 1 aliona mataifa ya kipagani 2 wakiingia mahali patakatifu pake, 1 wale uliowakataza kuingia 2 kwenye kusanyiko lako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The adversary hath spread out his hand upon all her pleasant things: for she hath seen that the heathen entered into her sanctuary, whom thou didst command that they should not enter into thy congregation.

In Context

9Uchafu wake umegandamana na nguo zake; 2 hakuwaza juu ya maisha yake ya baadaye. 1 Anguko lake lilikuwa la kushangaza, 2 hapakuwepo na yeyote wa kumfariji. 1 “Tazama, Ee Bwana, teso langu, 2 kwa maana adui ameshinda.” 1

11Watu wake wote wanalia kwa uchungu 2 watafutapo chakula; 1 wanabadilisha hazina zao kwa chakula 2 ili waweze kuendelea kuishi. 1 “Tazama, Ee Bwana, ufikiri, 2 kwa maana nimedharauliwa.” 1

Read all of Maombolezo 1

Cross References

Deuteronomy 23:4Kwa kuwa hawakuja kuwalaki wakiwa na mkate na maji mlipokuwa njiani mlipotoka Misri, tena walimwajiri Balaamu mwana wa Beori kutoka Pethori iliyoko Aramu-Naharaimu + 23:4 Yaani Mesopotamia ya Kaskazini-Magharibi. ili kuwalaani ninyi.

Nehemiah 13:1Siku hiyo, Kitabu cha Mose kilisomwa kwa sauti kuu, na watu wote wakasikia. Humo ilionekana imeandikwa kwamba hakuna Mwamoni wala Mmoabu atakayeruhusiwa katika kusanyiko la watu wa Mungu,

Psalms 79:1Ee Mungu, mataifa yameuvamia urithi wako, 2 wamelinajisi Hekalu lako takatifu, 2 wameifanya Yerusalemu kuwa magofu. 1

Isaiah 63:18Kwa maana kwa muda mfupi watu wako walimiliki mahali pako patakatifu, 2 lakini sasa adui zetu wamepakanyaga mahali patakatifu pako. 1

Jeremiah 15:13Utajiri wako na hazina zako nitavitoa kuwa nyara, 2 bila gharama, 1 kwa sababu ya dhambi zako zote 2 katika nchi yako yote. 1

Jeremiah 27:19Kwa maana hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote kuhusu zile nguzo, ile Bahari, vile vishikizo viwezavyo kuhamishika, vinara na vyombo vingine vilivyoachwa katika mji huu,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Maombolezo 1:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Maombolezo 1:9Maombolezo 1Maombolezo 1:11 →