The Bible Software
bible.software › Maombolezo › Maombolezo 1 › Maombolezo 1:11

Maombolezo 1:11

Watu wake wote wanalia kwa uchungu 2 watafutapo chakula; 1 wanabadilisha hazina zao kwa chakula 2 ili waweze kuendelea kuishi. 1 “Tazama, Ee Bwana, ufikiri, 2 kwa maana nimedharauliwa.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

All her people sigh, they seek bread; they have given their pleasant things for meat to relieve the soul: see, O LORD, and consider; for I am become vile.

In Context

10Adui ametia mikono 2 juu ya hazina zake zote, 1 aliona mataifa ya kipagani 2 wakiingia mahali patakatifu pake, 1 wale uliowakataza kuingia 2 kwenye kusanyiko lako. 1

12“Je, si kitu kwenu, ninyi nyote mpitao kando? 2 Angalieni kote mwone. 1 Je, kuna maumivu kama maumivu yangu 2 yale yaliyotiwa juu yangu, 1 yale Bwana aliyoyaleta juu yangu 2 katika siku ya hasira yake kali? 1

Read all of Maombolezo 1

Cross References

Deuteronomy 28:52Nao wataizingira miji yote katika nchi yako mpaka kuta ndefu za ngome ambazo unazitegemea zimeanguka. Watazingira miji yote katika nchi ambayo Bwana Mungu wako anakupa.

2 Kings 6:25Kukawa na njaa kuu katika mji. Samaria ilizingirwa kwa muda mrefu, kiasi kwamba kichwa cha punda kiliuzwa kwa shekeli themanini + 6:25 Shekeli 80 za fedha ni sawa na kilo moja. za fedha, na robo ya kibaba + 6:25 Robo ya kibaba ni sawa na lita 0.3. cha mavi ya njiwa kiliuzwa kwa shekeli tano + 6:25 Shekeli tano za fedha ni sawa na gramu 55. za fedha.

Psalms 25:15Macho yangu humwelekea Bwana daima, 2 kwa kuwa yeye peke yake ndiye ataitoa 2 miguu yangu kutoka mtego. 1

Jeremiah 19:9Nitawafanya wao kula nyama ya wana wao na binti zao; kila mmoja atakula nyama ya mwenzake wakati wa dhiki ya kuzungukwa na jeshi lililowekwa juu yao na adui wanaotafuta uhai wao.’

Jeremiah 52:6Ilipowadia siku ya tisa ya mwezi wa nne, njaa ikazidi kuwa kali sana ndani ya mji, hadi hapakuwa na chakula kwa ajili ya watu.

Lamentations 1:19“Niliita washirika wangu 2 lakini walinisaliti. 1 Makuhani wangu na wazee wangu 2 waliangamia mjini 1 walipokuwa wakitafuta chakula 2 ili waweze kuishi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Maombolezo 1:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Maombolezo 1:10Maombolezo 1Maombolezo 1:12 →