The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 28 › Isaya 28:18

Isaya 28:18

Agano lenu na kifo litabatilishwa, 2 patano lenu na kuzimu halitasimama. 1 Wakati pigo lifurikalo litakapowakumba, 2 litawaangusha chini. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And your covenant with death shall be disannulled, and your agreement with hell shall not stand; when the overflowing scourge shall pass through, then ye shall be trodden down by it.

In Context

17Nitaifanya haki kuwa kamba ya kupimia 2 na uadilifu kuwa timazi; 1 mvua ya mawe itafagia kimbilio lenu, huo uongo, 2 nayo maji yatafurikia mahali penu pa kujificha. 1

19Kila mara lijapo litawachukua, 2 asubuhi baada ya asubuhi, 1 wakati wa mchana na wakati wa usiku, 2 litawakumba tangu mwanzo hadi mwisho.” 1 Kuuelewa ujumbe huu 2 utaleta hofu tupu. 1

Read all of Isaya 28

Cross References

Isaiah 2:15kwa kila mnara ulio mrefu sana 2 na kila ukuta wenye ngome, 1

Isaiah 8:8na kufika hadi Yuda, yakizunguka kwa kasi juu yake, 2 yakipita katikati na yakifika hadi shingoni. 1 Mabawa yake yaliyokunjuliwa 2 yatafunika upana wa nchi yako, 2 Ee Imanueli!” + 8:8 Imanueli maana yake Mungu yu pamoja nasi. 1

Isaiah 28:3Lile taji la maua, kiburi cha walevi cha Efraimu, 2 kitakanyagwa chini ya nyayo. 1

Jeremiah 2:37Pia utaondoka mahali hapo 2 ukiwa umeweka mikono kichwani, 1 kwa kuwa Bwana amewakataa wale unaowatumainia; 2 hutasaidiwa nao.

Jeremiah 47:2Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Tazama jinsi maji yanavyoinuka huko kaskazini, 2 yatakuwa mafuriko yenye nguvu sana. 1 Yataifurikia nchi na vitu vyote vilivyomo ndani yake, 2 miji na wale waishio ndani yake. 1 Watu watapiga kelele; 2 wote waishio katika nchi wataomboleza 1

Ezekiel 13:11kwa hiyo waambie hao wanaoupaka chokaa isiyokorogwa vyema kwamba ukuta huo utaanguka. Mvua kubwa ya mafuriko itanyesha, nami nitaleta mvua ya mawe inyeshe kwa nguvu, nao upepo wa dhoruba utavuma juu yake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 28:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 28:17Isaya 28Isaya 28:19 →