Maombolezo 1:17
Sayuni ananyoosha mikono yake, 2 lakini hakuna yeyote wa kumfariji. 1 Bwana ametoa amri kwa ajili ya Yakobo 2 kwamba majirani zake wawe adui zake; 2 Yerusalemu umekuwa 2 kitu najisi miongoni mwao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 15:19“ ‘Ikiwa mwanamke atatokwa na damu ya kawaida ya mwezi, atakuwa najisi kwa siku saba, na yeyote atakayemgusa atakuwa najisi mpaka jioni.
1 Kings 8:38wakati dua au maombi yatakapofanywa na mmojawapo wa watu wako Israeli, kila mmoja akitambua taabu za moyo wake mwenyewe, naye akainyoosha mikono yake kuelekea Hekalu hili:
2 Kings 25:1Hivyo katika mwaka wa tisa wa utawala wa Sedekia, katika siku ya kumi ya mwezi wa kumi, Nebukadneza mfalme wa Babeli, akiwa na jeshi lake lote, alifanya vita dhidi ya Yerusalemu. Akapiga kambi nje ya mji na kuuzunguka mji pande zote.
Isaiah 1:15Mnaponyoosha mikono yenu katika maombi, 2 nitaficha macho yangu nisiwaone; 1 hata mkiomba maombi mengi 2 sitasikiliza. 1 Mikono yenu imejaa damu; 2
Jeremiah 4:31Nasikia kilio kama cha mwanamke 2 katika utungu wa kuzaa, 1 kilio cha uchungu kama cha anayemzaa 2 mtoto wake wa kwanza: 1 kilio cha Binti Sayuni akitweta ili aweze kupumua, 2 akiinua mikono yake, akisema, 1 “Ole wangu! Ninazimia; 2 maisha yangu yamekabidhiwa kwa wauaji.”
Jeremiah 15:5“Ni nani atakayekuhurumia, ee Yerusalemu? 2 Ni nani atakayeomboleza kwa ajili yako? 1 Ni nani atakayesimama ili kuuliza 2 kuhusu hali yako? 1