Lamentations 2:17
Bwana amefanya lile alilolipanga; 2 ametimiza neno lake 2 aliloliamuru siku za kale. 1 Amekuangusha bila huruma, 2 amewaacha adui wakusimange, 2 ametukuza pembe ya adui yako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 26:14“ ‘Lakini kama hamtanisikiliza na kutimiza maagizo haya yote,
Deuteronomy 29:18Hakikisheni kwamba hakuna mwanaume au mwanamke, ukoo au kabila miongoni mwenu leo ambalo moyo wake utamwacha Bwana Mungu wetu, kwenda kuabudu miungu ya mataifa hayo. Hakikisheni hakuna mzizi miongoni mwenu unaotoa sumu chungu ya namna hii.
Deuteronomy 32:15Yeshuruni + 32:15 Yeshuruni maana yake ni Yeye aliye mnyofu, yaani Israeli (ona pia Kum 33:26; Isa 44:2 ). alinenepa na kupiga teke; 2 alikuwa na chakula tele, 2 akawa mzito na akapendeza sana. 1 Akamwacha Mungu aliyemuumba, 2 na kumkataa Mwamba Mwokozi wake. 1
Psalms 38:16Kwa kuwa nilisema, “Usiwaache wafurahie, 2 wala wasijitukuze juu yangu 2 mguu wangu unapoteleza.” 1
Psalms 89:43Umegeuza makali ya upanga wake, 2 na hukumpa msaada katika vita. 1
Jeremiah 40:3Sasa Bwana ameyaleta haya, amefanya sawasawa na vile alivyosema angefanya. Yote haya yametokea kwa sababu ninyi mlifanya dhambi dhidi ya Bwana na hamkumtii.