The Bible Software
bible.softwareMaombolezoMaombolezo 2 › Maombolezo 2:18

Maombolezo 2:18

Mioyo ya watu 2 inamlilia Bwana. 1 Ee ukuta wa Binti Sayuni, 2 machozi yako na yatiririke kama mto 2 usiku na mchana; 1 usijipe nafuu, 2 macho yako yasipumzike. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Their heart cried unto the Lord, O wall of the daughter of Zion, let tears run down like a river day and night: give thyself no rest; let not the apple of thine eye cease.

In Context

17Bwana amefanya lile alilolipanga; 2 ametimiza neno lake 2 aliloliamuru siku za kale. 1 Amekuangusha bila huruma, 2 amewaacha adui wakusimange, 2 ametukuza pembe ya adui yako. 1

19Inuka, lia usiku, 2 zamu za usiku zianzapo; 1 mimina moyo wako kama maji 2 mbele za Bwana. 1 Mwinulie yeye mikono yako 2 kwa ajili ya maisha ya watoto wako, 1 ambao wanazimia kwa njaa 2 kwenye kila mwanzo wa barabara. 1

Read all of Maombolezo 2

Cross References

Psalms 119:145Ee Bwana, ninakuita kwa moyo wangu wote, 2 nami nitayatii maagizo yako. 1

Jeremiah 4:31Nasikia kilio kama cha mwanamke 2 katika utungu wa kuzaa, 1 kilio cha uchungu kama cha anayemzaa 2 mtoto wake wa kwanza: 1 kilio cha Binti Sayuni akitweta ili aweze kupumua, 2 akiinua mikono yake, akisema, 1 “Ole wangu! Ninazimia; 2 maisha yangu yamekabidhiwa kwa wauaji.”

Jeremiah 9:17Hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “Fikiri sasa! Waite wanawake waombolezao waje, 2 waite wale walio na ustadi kuliko wote. 1

Jeremiah 14:17“Nena nao neno hili: 1 “ ‘Macho yangu na yatiririkwe na machozi 2 usiku na mchana bila kukoma; 1 kwa kuwa binti yangu aliye bikira, yaani watu wangu, 2 amepata jeraha baya, 2 pigo la kuangamiza. 1

Lamentations 1:16“Hii ndiyo sababu ninalia 2 na macho yangu yanafurika machozi. 1 Hakuna yeyote aliye karibu kunifariji, 2 hakuna yeyote wa kuhuisha roho yangu. 1 Watoto wangu ni wakiwa 2 kwa sababu adui ameshinda.” 1

Lamentations 3:48Vijito vya machozi vinatiririka kutoka machoni mwangu, 2 kwa sababu watu wangu wameangamizwa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Maombolezo 2:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Maombolezo 2:17Maombolezo 2Maombolezo 2:19 →