Lamentations 2:22
“Kama ulivyoita siku ya karamu, 2 ndivyo ulivyoagiza hofu kuu 2 dhidi yangu kila upande. 1 Katika siku ya hasira ya Bwana 2 hakuna yeyote aliyekwepa au kupona; 1 wale niliowatunza na kuwalea, 2 adui yangu amewaangamiza.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Chronicles 36:17Mungu akamwinua dhidi yao mfalme wa Wakaldayo, aliyewaua vijana wao wa kiume kwa upanga ndani ya mahali patakatifu, ambaye hakumbakiza kijana mwanaume wala kijana mwanamke, wazee wala vikongwe. Mungu akawatia wote mikononi mwa Nebukadneza.
Isaiah 24:17Hofu, shimo na mtego vinakungojea, 2 ewe mtu ukaaye duniani. 1
Jeremiah 14:19Je, umemkataa Yuda kabisa? 2 Umemchukia Sayuni kabisa? 1 Kwa nini umetuumiza 2 hata hatuwezi kuponyeka? 1 Tulitarajia amani, 2 lakini hakuna jema lililotujia; 1 tulitarajia wakati wa kupona 2 lakini kuna hofu kuu tu. 1
Jeremiah 20:3Siku ya pili Pashuri alipomwachia kutoka kwenye mkatale, Yeremia akamwambia, “ Bwana hakukuita jina lako kuwa Pashuri bali Magor-Misabibu. + 20:3 Magor-Misabibu maana yake hapa ni Vitisho pande zote.
Jeremiah 46:5Je, ninaona nini? 2 Wametiwa hofu, 1 wanarudi nyuma, 2 askari wao wameshindwa. 1 Wanakimbia kwa haraka 2 pasipo kutazama nyuma, 2 tena kuna hofu kuu kila upande,” 4 asema Bwana. 1
Hosea 9:13Nimemwona Efraimu, kama Tiro, 2 aliyeoteshwa mahali pazuri. 1 Lakini Efraimu wataleta 2 watoto wao kwa mchinjaji.” 1