Lamentations 2:8
Bwana alikusudia kuangusha 2 ukuta uliomzunguka Binti Sayuni. 1 Ameinyoosha kamba ya kupimia 2 na hakuuzuia mkono wake usiangamize. 1 Alifanya maboma na kuta ziomboleze, 2 vyote vikaharibika pamoja. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 8:2Pia Daudi akawashinda Wamoabu. Akawafanya walale chini kwa mstari akawapima kwa urefu wa kamba. Kila alipopima urefu wa hiyo kamba mara mbili hilo kundi waliuawa na alipopima mara ya tatu aliwaacha hai. Kwa hiyo Wamoabu wakawa chini ya Daudi nao wakamletea kodi.
Job 13:21Ondoa mkono wako uwe mbali nami, 2 nawe uache kuniogofya kwa hofu zako kuu. 1
Isaiah 5:5Sasa nitawaambia lile nitakalolitendea 2 shamba langu la mizabibu: 1 Nitaondoa uzio wake, 2 nalo litaharibiwa, 1 nitabomoa ukuta wake, 2 nalo litakanyagwa. 1
Isaiah 28:17Nitaifanya haki kuwa kamba ya kupimia 2 na uadilifu kuwa timazi; 1 mvua ya mawe itafagia kimbilio lenu, huo uongo, 2 nayo maji yatafurikia mahali penu pa kujificha. 1
Jeremiah 5:10“Piteni katika mashamba yake ya mizabibu na kuyaharibu, 2 lakini msiangamize kabisa. 1 Pogoeni matawi yake, 2 kwa kuwa watu hawa sio wa Bwana. 1
Jeremiah 52:13Alichoma moto Hekalu la Bwana, jumba la kifalme, na nyumba zote za Yerusalemu. Aliteketeza kila jengo muhimu.