Maombolezo 3:11
ameniburuta kutoka njia, 2 akanirarua na kuniacha bila msaada. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He hath turned aside my ways, and pulled me in pieces: he hath made me desolate.
In Context
10Kama dubu aviziaye, 2 kama simba mafichoni, 1
12Amevuta upinde wake 2 na kunifanya mimi niwe lengo 2 kwa ajili ya mishale yake. 1
Cross References
Job 16:12Mambo yote yalikuwa mazuri, lakini alinivunjavunja; 2 amenikamata shingo na kuniponda. 2 Amenifanya mimi kuwa shabaha yake; 1
Isaiah 3:26Malango ya Sayuni yataomboleza na kulia, 2 ataketi mavumbini akiwa fukara.
Jeremiah 6:8Pokea onyo, ee Yerusalemu, 2 la sivyo nitageukia mbali nawe 1 na kuifanya nchi yako kuwa ukiwa, 2 asiweze mtu kuishi ndani yake.”
Jeremiah 19:8Nitauharibu mji huu na kuufanya kitu cha kudharauliwa. Wote wapitao karibu watashangaa na kuudhihaki kwa sababu ya majeraha yake yote.
Jeremiah 51:20“Wewe ndiwe rungu langu la vita, 2 silaha yangu ya vita: 1 kwa wewe navunjavunja mataifa, 2 kwa wewe naangamiza falme, 1
Daniel 2:40Hatimaye, kutakuwako na ufalme wa nne, wenye nguvu kama chuma, kwa maana chuma huvunja na kupondaponda kila kitu; kama vile chuma ivunjavyo vitu vipande vipande, ndivyo ufalme huo utakavyopondaponda na kuvunjavunja nyingine zote.