Maombolezo 3:15
Amenijaza kwa majani machungu 2 na kunishibisha kwa nyongo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He hath filled me with bitterness, he hath made me drunken with wormwood.
In Context
14Nimekuwa kichekesho kwa watu wangu wote, 2 wananidhihaki kwa wimbo mchana kutwa. 1
16Amevunja meno yangu kwa changarawe, 2 amenikanyagia mavumbini. 1
Cross References
Job 9:18Asingeniacha nipumue 2 bali angenifunika kabisa na huzuni kuu. 1
Psalms 88:4Nimehesabiwa miongoni mwa wale waendao shimoni, 2 niko kama mtu asiye na nguvu. 1
Isaiah 51:21Kwa hiyo sikiliza hili, wewe uliyeteswa, 2 uliyelewa, lakini si kwa mvinyo. 1
Jeremiah 4:18“Mwenendo wako na matendo yako mwenyewe 2 yameleta haya juu yako. 1 Hii ndiyo adhabu yako. 2 Tazama jinsi ilivyo chungu! 2 Tazama jinsi inavyochoma moyo!” 1
Jeremiah 9:15Kwa hiyo, hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli: “Tazama, nitawafanya watu hawa wale chakula kichungu na kunywa maji yenye sumu.
Jeremiah 25:15Hili ndilo Bwana, Mungu wa Israeli, aliloniambia: “Chukua kutoka mkononi mwangu kikombe hiki kilichojaa divai ya ghadhabu yangu, na kuyanywesha mataifa yote ambayo ninakutuma kwao.