Maombolezo 3:16
Amevunja meno yangu kwa changarawe, 2 amenikanyagia mavumbini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He hath also broken my teeth with gravel stones, he hath covered me with ashes.
In Context
15Amenijaza kwa majani machungu 2 na kunishibisha kwa nyongo. 1
17Amani yangu imeondolewa, 2 nimesahau kufanikiwa ni nini. 1
Cross References
Job 4:10Simba anaweza kunguruma na kukoroma, 2 lakini bado meno ya simba mkubwa huvunjika. 1
Psalms 58:6Ee Mungu, yavunje meno katika vinywa vyao; 2 Ee Bwana, vunja meno makali ya hao simba! 1
Proverbs 20:17Chakula kilichopatikana kwa hila ni kitamu kwa mwanadamu, 2 bali huishia na kinywa kilichojaa changarawe. 1
Jonah 3:6Habari zilipomfikia mfalme wa Ninawi, aliondoka kwenye kiti chake cha enzi, akavua majoho yake ya kifalme, akajifunika nguo ya gunia kisha akaketi chini mavumbini.
Luke 11:11“Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba samaki, atampa nyoka badala yake?