The Bible Software
bible.software › Sefania › Sefania 3 › Sefania 3:5

Sefania 3:5

Bwana aliye ndani yake ni mwenye haki, 2 hafanyi kosa. 1 Asubuhi kwa asubuhi hutoa haki yake, 2 kila kukipambazuka huitimiza, 2 bali mtu dhalimu hana aibu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The just LORD is in the midst thereof; he will not do iniquity: every morning doth he bring his judgment to light, he faileth not; but the unjust knoweth no shame.

In Context

4Manabii wake ni wenye kiburi, 2 ni wadanganyifu. 1 Makuhani wake hunajisi patakatifu 2 na kuihalifu sheria. 1

6“Nimeyafutilia mbali mataifa, 2 ngome zao zimebomolewa. 1 Nimeziacha barabara ukiwa, 2 hakuna anayepita humo. 1 Miji yao imeharibiwa; 2 hakuna mmoja atakayeachwa: 2 hakuna hata mmoja. 1

Read all of Sefania 3

Cross References

Deuteronomy 23:14Kwa kuwa Bwana Mungu wenu hutembea katika kambi yenu ili kuwalinda na kuwaweka adui zenu mikononi mwenu. Kambi yenu ni lazima iwe takatifu, ili asione kitu chochote miongoni mwenu kilicho kichafu akageuka na kuwaacha. 1 Sheria Mbalimbali

Job 8:3Je, Mungu hupotosha hukumu? 2 Je, Mwenyezi hupotosha kile kilicho haki? 1

Job 34:17Je, yeye aichukiaye haki aweza kutawala? 2 Je, utamhukumu mwenye haki, Aliye na Nguvu Zote? 1

Psalms 99:3Wanalisifu jina lako ambalo ni kuu na la kuogopwa: 2 yeye ni mtakatifu! 1

Ecclesiastes 3:16Pia nikaona kitu kingine tena chini ya jua: 1 Mahali pa kutolea hukumu, 2 uovu ulikuwepo, 1 mahali pa kupatia haki, 2 uovu ulikuwepo.

Isaiah 28:19Kila mara lijapo litawachukua, 2 asubuhi baada ya asubuhi, 1 wakati wa mchana na wakati wa usiku, 2 litawakumba tangu mwanzo hadi mwisho.” 1 Kuuelewa ujumbe huu 2 utaleta hofu tupu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Sefania 3:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Sefania 3:4Sefania 3Sefania 3:6 →