Maombolezo 3:48
Vijito vya machozi vinatiririka kutoka machoni mwangu, 2 kwa sababu watu wangu wameangamizwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Mine eye runneth down with rivers of water for the destruction of the daughter of my people.
In Context
47Tumeteseka kwa hofu kuu na shida ya ghafula, 2 uharibifu na maangamizi.” 1
49Macho yangu yatatiririka machozi bila kukoma, 2 bila kupata nafuu, 1
Cross References
Psalms 137:1Kando ya mito ya Babeli tuliketi, tukaomboleza 2 tulipokumbuka Sayuni. 1
Jeremiah 9:1Laiti kichwa changu kingekuwa chemchemi ya maji 2 na macho yangu yangekuwa kisima cha machozi! 1 Ningelia usiku na mchana 2 kwa kuuawa kwa watu wangu. 1
Jeremiah 13:17Lakini kama hamtasikiliza, 2 nitalia sirini 2 kwa ajili ya kiburi chenu; 1 macho yangu yatalia kwa uchungu, 2 yakitiririka machozi, 1 kwa sababu kundi la kondoo la Bwana 2 litachukuliwa mateka. 1
Lamentations 1:16“Hii ndiyo sababu ninalia 2 na macho yangu yanafurika machozi. 1 Hakuna yeyote aliye karibu kunifariji, 2 hakuna yeyote wa kuhuisha roho yangu. 1 Watoto wangu ni wakiwa 2 kwa sababu adui ameshinda.” 1
Lamentations 2:18Mioyo ya watu 2 inamlilia Bwana. 1 Ee ukuta wa Binti Sayuni, 2 machozi yako na yatiririke kama mto 2 usiku na mchana; 1 usijipe nafuu, 2 macho yako yasipumzike. 1