Lamentations 4:2
Wana wa Sayuni wenye thamani, 2 ambao mwanzo uzito wa thamani yao 2 ulikuwa wa dhahabu, 1 sasa wanaangaliwa kama vyungu vya udongo, 2 kazi ya mikono ya mfinyanzi! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 30:14Utavunjika vipande vipande kama chombo cha udongo 2 ukipasuka pasipo huruma 1 ambapo katika vipande vyake 2 hakuna kipande kitakachopatikana 1 kwa kuukulia makaa kutoka jikoni 2 au kuchotea maji kisimani.”
Jeremiah 19:11uwaambie, ‘Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo: Nitalivunja taifa hili na mji huu kama gudulia hili la mfinyanzi lilivyovunjwa, nalo haliwezi kutengenezeka tena. Watawazika waliokufa huko Tofethi hata isiwepo nafasi zaidi.
Lamentations 2:21“Vijana na wazee hujilaza pamoja 2 katika mavumbi ya barabarani, 1 wavulana wangu na wasichana 2 wameanguka kwa upanga. 1 Umewaua katika siku ya hasira yako, 2 umewachinja bila huruma. 1
Hosea 8:8Israeli amemezwa; 2 sasa yupo miongoni mwa mataifa 2 kama kitu kisicho na thamani. 1
Romans 9:21Je, mfinyanzi hana haki ya kufinyanga kutoka bonge moja vyombo vya udongo, vingine kwa matumizi ya heshima na vingine kwa matumizi ya kawaida?
2 Timothy 2:20Katika nyumba kubwa si kwamba kuna vyombo vya dhahabu na fedha tu, bali pia vimo vyombo vya miti na vya udongo; vingine kwa matumizi maalum, na vingine kwa matumizi ya kawaida.