Lamentations 5:3
Tumekuwa yatima wasio na baba, 2 mama zetu wamekuwa kama wajane. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
We are orphans and fatherless, our mothers are as widows.
In Context
2Urithi wetu umegeuziwa kwa wageni, 2 na nyumba zetu kwa wageni. 1
4Ni lazima tununue maji tunayokunywa, 2 kuni zetu zapatikana tu kwa kununua. 1
Cross References
Exodus 22:24Hasira yangu itawaka, nami nitawaua kwa upanga, wake zenu watakuwa wajane na watoto wenu watakuwa yatima.
Jeremiah 18:21Kwa hiyo uwaache watoto wao waone njaa; 2 uwaache wauawe kwa makali ya upanga. 1 Wake zao wasiwe na watoto, na wawe wajane; 2 waume wao wauawe, 1 nao vijana wao waume 2 wachinjwe kwa upanga vitani. 1