Leviticus 14:21
“Hata hivyo, kama ni maskini na hawezi kupata vitu hivi, lazima achukue mwana-kondoo mmoja kama sadaka ya hatia ipate kuinuliwa ili kumfanyia upatanisho, pamoja na sehemu ya kumi ya efa + 14:21 Sehemu ya kumi ya efa ni sawa na lita 2. ya unga laini uliochanganywa na logi moja ya mafuta kwa ajili ya sadaka ya nafaka,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20na kuitoa juu ya madhabahu, pamoja na sadaka ya nafaka ili kumfanyia upatanisho, naye atakuwa safi.
Cross References
Leviticus 5:7“ ‘Lakini huyo mtu kama hataweza kumtoa mwana-kondoo, ataleta hua wawili au makinda mawili ya njiwa kwa Bwana kuwa adhabu kwa ajili ya dhambi yake, mmoja wa hao ndege kwa ajili ya sadaka ya dhambi, na wa pili kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa.
Leviticus 12:8Kama huyo mwanamke hana uwezo wa kumpata mwana-kondoo, ataleta hua wawili au makinda mawili ya njiwa, moja kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa na mwingine kwa ajili ya sadaka ya dhambi. Kwa njia hii, kuhani atafanya upatanisho kwa ajili yake, naye atakuwa safi.’ ”
1 Samuel 2:8Humwinua maskini kutoka mavumbini 2 na humwinua mhitaji kutoka lundo la majivu; 1 huwaketisha pamoja na wakuu 2 na kuwafanya warithi kiti cha enzi cha heshima. 1 “Kwa kuwa misingi ya dunia ni ya Bwana; 2 juu yake ameuweka ulimwengu. 1
Proverbs 17:5Yeye anaye mdhihaki maskini huonyesha dharau kwa Muumba wake; 2 yeyote afurahiaye maafa hataepuka kuadhibiwa. 1
Luke 6:20Akawatazama wanafunzi wake, akasema: 1 “Mmebarikiwa ninyi mlio maskini, 2 kwa sababu Ufalme wa Mungu ni wenu. 1
2 Corinthians 8:9Kwa maana mnajua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, kwamba ingawa alikuwa tajiri, kwa ajili yenu alikubali kuwa maskini, ili kwa umaskini wake ninyi mpate kuwa matajiri.