Leviticus 2:15
Weka mafuta na uvumba juu yake; ni sadaka ya nafaka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And thou shalt put oil upon it, and lay frankincense thereon: it is a meat offering.
In Context
Cross References
Exodus 29:2Kutokana na unga laini wa ngano usiotiwa chachu, tengeneza mikate na maandazi yaliyokandwa kwa mafuta, pamoja na mikate midogo myembamba.
Leviticus 2:1“ ‘Mtu yeyote aletapo sadaka ya nafaka kwa Bwana, sadaka yake itakuwa ya unga laini. Atamimina mafuta juu yake, aweke uvumba juu yake,
Numbers 15:4ndipo yeye aletaye sadaka yake ataiweka mbele za Bwana sadaka ya nafaka, sehemu ya kumi ya efa + 15:4 Sehemu ya kumi ya efa ni sawa na kilo moja. ya unga laini uliochanganywa na robo ya hini + 15:4 Robo ya hini ni sawa na lita moja. ya mafuta.