Numbers 15:4
ndipo yeye aletaye sadaka yake ataiweka mbele za Bwana sadaka ya nafaka, sehemu ya kumi ya efa + 15:4 Sehemu ya kumi ya efa ni sawa na kilo moja. ya unga laini uliochanganywa na robo ya hini + 15:4 Robo ya hini ni sawa na lita moja. ya mafuta.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 29:40Pamoja na mwana-kondoo wa kwanza utatoa efa moja + 29:40 Efa moja ni sawa na kilo 22. ya unga wa ngano laini uliochanganywa na robo ya hini + 29:40 Robo ya hini ni sawa na lita moja. ya mafuta yaliyokamuliwa, pamoja na robo ya hini ya divai kuwa sadaka ya kinywaji.
Leviticus 2:15Weka mafuta na uvumba juu yake; ni sadaka ya nafaka.
Leviticus 7:9Kila sadaka ya nafaka iliyookwa jikoni au kupikwa katika sufuria au katika kikaangio itakuwa ya kuhani anayeitoa.
Leviticus 23:13pamoja na sadaka yake ya nafaka ya sehemu mbili za kumi za efa + 23:13 Sehemu mbili za kumi za efa ni sawa na kilo mbili. za unga laini uliochanganywa na mafuta, sadaka iliyotolewa kwa Bwana kwa kuteketezwa kwa moto, harufu nzuri ya kupendeza, na sadaka yake ya kinywaji ya robo ya hini + 23:13 Robo ya hini ni sawa na lita moja. ya divai.
Numbers 28:5kila mmoja atolewe pamoja na sadaka ya nafaka sehemu ya kumi ya efa + 28:5 Sehemu ya kumi ya efa ni sawa na kilo moja. ya unga laini uliochanganywa pamoja na robo ya hini + 28:5 Robo ya hini ni sawa na lita moja. ya mafuta ya zeituni.
Judges 9:9“Lakini mzeituni ukaijibu, ‘Je, niache kutoa mafuta yangu ambayo kwake miungu na wanadamu huheshimiwa, ili nikawe juu ya miti?’