Leviticus 26:13
Mimi ndimi Bwana Mungu wenu, niliyewatoa katika nchi ya Misri ili msiendelee kuwa watumwa wa Wamisri, nikavunja kongwa lenu, na kuwawezesha kutembea mkiwa mmeinua vichwa vyenu juu. 1 Adhabu Ya Kutokutii (Kumbukumbu 28:15-68)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Nitatembea katikati yenu niwe Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu.
14“ ‘Lakini kama hamtanisikiliza na kutimiza maagizo haya yote,
Cross References
Exodus 14:8Bwana akaufanya mgumu moyo wa Farao, mfalme wa Misri, kwa hiyo akawafuatia Waisraeli, waliokuwa wakiondoka Misri kwa ujasiri.
Leviticus 25:38Mimi ndimi Bwana Mungu wako, niliyekuleta kutoka nchi ya Misri nikupe nchi ya Kanaani, nami niwe Mungu wako.
Leviticus 25:55kwa maana Waisraeli ni mali yangu kama watumishi. Wao ni watumishi wangu, niliowatoa kutoka nchi ya Misri. Mimi ndimi Bwana Mungu wako.
Psalms 116:16Ee Bwana, hakika mimi ni mtumishi wako, 2 mimi ni mtumishi wako, 2 mwana wa mjakazi wako; + 116:16 Au: mwanao mwaminifu. 1 umeniweka huru 2 toka katika minyororo yangu. 1
Isaiah 51:23Nitakiweka mikononi mwa watesi wako, 2 wale waliokuambia, 1 ‘Anguka kifudifudi 2 ili tuweze kutembea juu yako.’ 1 Ukaufanya mgongo wako kama ardhi, 2 kama njia yao ya kupita.”
Jeremiah 28:2“Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli asemalo: ‘Nitaivunja nira ya mfalme wa Babeli.