Nahumu 1:6
Ni nani awezaye kuzuia hasira yake yenye uchungu? 2 Nani awezaye kuvumilia hasira yake kali? 1 Ghadhabu yake imemiminwa kama moto, 2 na miamba inapasuka mbele zake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Bwana ni Mwema, 2 kimbilio wakati wa taabu. 1 Huwatunza wale wanaomtegemea, 2
Cross References
Deuteronomy 32:22Kwa maana moto umewashwa kwa hasira yangu, 2 ule uwakao hadi kwenye vina vya mauti. 1 Utateketeza dunia pamoja na mazao yake, 2 na kuwasha moto katika misingi ya milima. 1
Job 9:5Aiondoa milima bila yenyewe kujua 2 na kuipindua kwa hasira yake. 1
Psalms 2:12Mbusu Mwana, asije akakasirika 2 nawe ukaangamizwa katika njia yako, 1 kwa maana hasira yake inaweza kuwaka ghafula. 2 Heri wote wanaomkimbilia.
Psalms 76:8Kutoka mbinguni ulitamka hukumu, 2 nayo nchi ikaogopa, ikawa kimya: 1
Isaiah 10:16Kwa hiyo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 atatuma ugonjwa wa kudhoofisha kwa askari wake walio hodari, 1 katika fahari yake moto utawaka 2 kama mwali wa moto. 1
Isaiah 27:4Mimi sijakasirika. 2 Licha pangekuwepo michongoma na miiba kunikabili! 2 Ningepambana dhidi yake katika vita, 2 ningeliichoma moto yote. 1