The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 1 › Luke 1:53

Luke 1:53

Amewashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri, 2 bali matajiri amewafukuza mikono mitupu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He hath filled the hungry with good things; and the rich he hath sent empty away.

In Context

52Amewashusha watawala toka kwenye viti vyao vya enzi, 2 lakini amewainua wanyenyekevu. 1

54Amemsaidia mtumishi wake Israeli, 2 kwa kukumbuka ahadi yake ya kumrehemu 1

Read all of Luke 1

Cross References

Psalms 34:10Wana simba wenye nguvu 2 hutindikiwa na kuona njaa, 1 bali wale wamtafutao Bwana 2 hawatakosa kitu chochote kilicho chema. 1

Psalms 146:7Naye huwapatia haki walioonewa 2 na kuwapa wenye njaa chakula. 1 Bwana huwaweka wafungwa huru, 2

Matthew 5:6Heri wenye njaa na kiu ya haki, 2 maana hao watatoshelezwa. 1

Luke 6:24“Lakini ole wenu ninyi mlio matajiri, 2 kwa sababu mmekwisha kupokea faraja yenu. 1

Luke 16:19“Palikuwa na mtu mmoja tajiri aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, ambaye aliishi kwa anasa kila siku.

Luke 18:24Yesu akamtazama, akasema, “Tazama jinsi ilivyo vigumu kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu!

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 1:53

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 1:52Luke 1Luke 1:54 →