Luka 12:36
kama watumishi wanaomngojea bwana wao arudi kutoka kwenye karamu ya arusi, ili ajapo na kubisha mlango waweze kumfungulia mara.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
35“Kuweni tayari mkiwa mmevikwa kwa ajili ya huduma na taa zenu zikiwa zinawaka,
Cross References
Song of Solomon 5:5Niliinuka kumfungulia mpenzi wangu, 2 mikono yangu ikidondosha manemane, 1 vidole vyangu vikitiririka manemane, 2 penye vipini vya komeo. 1
Lamentations 3:25Bwana ni mwema kwa wale ambao tumaini lao ni kwake, 2 kwa yule ambaye humtafuta; 1
Matthew 24:42“Basi kesheni, kwa sababu hamjui ni siku gani atakapokuja Bwana wenu.
Mark 13:34Ni kama mtu anayesafiri. Anaiacha nyumba yake na kuwaachia watumishi wake kuiangalia, kila mtu na kazi yake, kisha akamwamuru yule bawabu aliye mlangoni akeshe.
James 5:7Kwa hiyo, ndugu zangu, vumilieni hadi kuja kwake Bwana. Angalieni jinsi mkulima angojavyo ardhi itoe mavuno yake yaliyo ya thamani na jinsi anavyovumilia kwa ajili ya kupata mvua za kwanza na za mwisho.
Jude 1:20Lakini ninyi wapendwa, jijengeni katika imani yenu iliyo takatifu sana tena ombeni katika Roho Mtakatifu.