Luke 12:9
Lakini yeye atakayenikana mimi mbele ya watu, Mwana wa Adamu naye atamkana mbele ya malaika wa Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But he that denieth me before men shall be denied before the angels of God.
In Context
Cross References
Matthew 7:23Ndipo nitakapowaambia wazi, ‘Sikuwajua kamwe. Ondokeni kwangu, ninyi watenda maovu!’ 1 Msikiaji Na Mtendaji (Luka 6:47-49)
Matthew 25:12“Lakini yeye bwana arusi akawajibu, ‘Amin, amin nawaambia, siwajui ninyi!’
Matthew 25:41“Kisha atawaambia wale walio upande wake wa kushoto, ‘Ondokeni kwangu, ninyi mliolaaniwa, nendeni kwenye moto wa milele ulioandaliwa kwa ajili ya ibilisi na malaika zake.
Luke 9:26Mtu yeyote akinionea aibu mimi na maneno yangu, Mwana wa Adamu naye atamwonea aibu atakapokuja katika utukufu wake na katika utukufu wa Baba, pamoja na malaika watakatifu.
Luke 22:57Lakini Petro akakana, akasema, “Ewe mwanamke, hata simjui!”
2 Timothy 2:12Kama tukistahimili, 2 pia tutatawala pamoja naye. 1 Kama tukimkana yeye, 2 naye atatukana sisi. 1