The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 20 › Luke 20:41

Luke 20:41

Kisha Yesu akawaambia, “Imekuwaje basi wao husema Kristo + 20:41 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. ni Mwana wa Daudi?

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he said unto them, How say they that Christ is David’s son?

In Context

40Baada ya hayo hakuna mtu aliyethubutu kumuuliza maswali tena. 1 Kristo Ni Mwana Wa Nani? (Mathayo 22:41-46; Marko 12:35-37)

42Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi: 1 “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1

Read all of Luke 20

Cross References

Isaiah 11:1Chipukizi litatokea kutoka shina la Yese, 2 kutoka mizizi yake Tawi litazaa tunda. 1

Jeremiah 33:15“ ‘Katika siku hizo na wakati huo 2 nitalifanya Tawi la haki lichipuke kutoka ukoo wa Daudi, 1 naye atafanya lile lililo haki na sawa 2 katika nchi. 1

Matthew 1:1Habari za ukoo wa Yesu Kristo mwana wa Daudi, mwana wa Abrahamu: 1

Mark 12:35Yesu alipokuwa akifundisha Hekaluni, akauliza, “Imekuwaje walimu wa sheria wanasema kwamba Kristo + 12:35 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. ni Mwana wa Daudi?

John 7:42Je, Maandiko hayasemi kwamba Kristo atakuja kutoka jamaa ya Daudi na kutoka Bethlehemu, mji alioishi Daudi?”

Romans 1:3yaani, Injili inayomhusu Mwanawe, yeye ambaye kwa uzao wa mwili alikuwa mzao wa Daudi,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 20:41

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 20:40Luke 20Luke 20:42 →