Mark 12:34
Yesu alipoona kwamba amejibu kwa busara, akamwambia, “Wewe hauko mbali na Ufalme wa Mungu.” Tangu wakati huo, hakuna mtu yeyote aliyethubutu kumuuliza maswali tena. 1 Kristo Ni Mwana Wa Nani? (Mathayo 22:41-46; Luka 20:41-44)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 12:20Mwanzi uliopondeka hatauvunja, 2 na utambi unaofuka moshi hatauzima, 1 mpaka atakapoifanya haki ishinde. 2
Luke 20:40Baada ya hayo hakuna mtu aliyethubutu kumuuliza maswali tena. 1 Kristo Ni Mwana Wa Nani? (Mathayo 22:41-46; Marko 12:35-37)
Romans 7:9Wakati fulani nilikuwa hai pasipo sheria, lakini amri ilipokuja, dhambi ikawa hai, nami nikafa.
Colossians 4:6Maneno yenu yawe yamejaa neema siku zote, yanayofaa, ili mjue jinsi iwapasavyo na inavyofaa kumjibu kila mtu. 1 Salamu Za Mwisho