Luke 9:11
Lakini umati wa watu ukafahamu alikokwenda, ukamfuata. Akawakaribisha na kunena nao kuhusu Ufalme wa Mungu na kuwaponya wale wote waliokuwa wanahitaji uponyaji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 14:14Yesu alipofika kando ya bahari, aliona makutano makubwa ya watu, akawahurumia na akawaponya wagonjwa wao.
Matthew 21:43“Kwa hiyo ninawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na kupewa watu wengine wawezao kuzaa matunda yake.
Luke 1:53Amewashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri, 2 bali matajiri amewafukuza mikono mitupu. 1
Luke 8:1Baada ya haya Yesu alikwenda, akawa anazunguka katika miji na vijiji akihubiri habari njema za Ufalme wa Mungu. Wale wanafunzi wake kumi na wawili walikuwa pamoja naye,
Luke 9:2kisha akawatuma waende wakahubiri Ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.
John 6:37Wale wote anipao Baba watakuja kwangu na yeyote ajaye kwangu, sitamfukuzia nje kamwe.