Luke 9:2
kisha akawatuma waende wakahubiri Ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he sent them to preach the kingdom of God, and to heal the sick.
In Context
Cross References
Matthew 10:7Wakati mnapokwenda, hubirini mkisema, ‘Ufalme wa Mbinguni umekaribia.’
Matthew 24:14Injili ya Ufalme itahubiriwa ulimwenguni kote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote. Ndipo mwisho utakapokuja.
Mark 6:12Kwa hiyo wakatoka na kuhubiri kwamba inawapasa watu kutubu na kuacha dhambi.
Luke 9:11Lakini umati wa watu ukafahamu alikokwenda, ukamfuata. Akawakaribisha na kunena nao kuhusu Ufalme wa Mungu na kuwaponya wale wote waliokuwa wanahitaji uponyaji.
Luke 10:9waponyeni wagonjwa waliomo na waambieni: ‘Ufalme wa Mungu umekaribia.’
Luke 16:16“Sheria na Manabii vilihubiriwa mpaka kuja kwa Yohana Mbatizaji. Tangu wakati huo habari njema za Ufalme wa Mungu zinahubiriwa, na kila mmoja hujiingiza kwa nguvu.