Malachi 2:3
“Kwa sababu yenu nitawakatilia mbali wazao wenu. Nitazipaka nyuso zenu mavi, mavi ya dhabihu zenu. Nanyi mtafukuzwa pamoja nazo mtoke mbele zangu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 2:29Kwa nini unadharau dhabihu zangu na sadaka zile nilizoziamuru kwa ajili ya makao yangu? Kwa nini unawaheshimu wanao kuliko mimi kwa kujinenepesha wenyewe kwa kula sehemu zilizo bora za kila sadaka zinazotolewa na watu wangu wa Israeli?’
1 Kings 14:10“ ‘Kwa sababu ya hili, nitaleta maafa juu ya nyumba ya Yeroboamu. Nitakatilia mbali kutoka kwa Yeroboamu kila mzaliwa wa mwisho wa kiume katika Israeli, mtumwa au mtu huru. Nitachoma nyumba ya Yeroboamu mpaka iteketee yote kama mtu achomaye kinyesi.
Job 20:7ataangamia milele kama mavi yake mwenyewe. 2 Wale waliomwona watauliza, ‘Yuko wapi?’ 1
Psalms 83:10ambao waliangamia huko Endori 2 na wakawa kama takataka juu ya nchi. 1
Joel 1:10Mashamba yameharibiwa, 2 ardhi imekauka; 1 nafaka imeharibiwa, 2 mvinyo mpya umekauka, 2 mafuta yamekoma. 1
Nahum 3:6Nitakutupia uchafu, 2 nitakufanyia dharau 2 na kukufanya kioja. 1