Malachi 3:15
Lakini sasa wenye kiburi wanabarikiwa. Hakika watenda mabaya wanastawi, pia hata wale wanaoshindana na Mungu ndio wanaosalimika.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 14:22hakuna hata mmoja wa watu hawa ambao waliuona utukufu wangu na ishara za miujiza niliyotenda huko Misri na huko jangwani, lakini ambaye hakunitii na akanijaribu mara hizi kumi,
Job 1:22Katika mambo haya yote, Ayubu hakutenda dhambi kwa kumlaumu Mungu kwa kufanya ubaya.
Job 21:7Kwa nini waovu wanaendelea kuishi, 2 wakifikia umri wa uzee na kuendelea kuwa na nguvu? 1
Job 22:23Kama ukimrudia Mwenyezi, utarudishwa upya: 2 Kama ukiuondoa uovu uwe mbali na hema lako, 1
Psalms 49:18Ingawa alipokuwa akiishi alijihesabu kuwa heri, 2 na wanadamu wanakusifu unapofanikiwa, 1
Psalms 73:12Hivi ndivyo walivyo waovu: 2 siku zote hawajali, 2 wanaongezeka katika utajiri. 1