Malachi 4:5
“Tazama, nitawapelekea nabii Eliya kabla ya kuja siku ile iliyo kuu na ya kutisha ya Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 40:3Sauti ya mtu aliaye: 2 “Itengenezeni jangwani njia ya Bwana, 1 nyoosheni njia kuu nyikani 2 kwa ajili ya Mungu wetu. 1
Malachi 3:1“Angalieni, nitamtuma mjumbe wangu, atakayeiandaa njia mbele yangu. Ndipo ghafula Bwana mnayemtafuta atakuja hekaluni mwake. Mjumbe wa Agano, ambaye mnamwonea shauku, atakuja,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.
Matthew 11:13Kwa maana manabii wote na Sheria walitabiri mpaka wakati wa Yohana.
Matthew 27:47Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama pale waliposikia hayo, wakasema, “Anamwita Eliya.”
Luke 1:17Naye atatangulia mbele za Bwana katika roho na nguvu ya Eliya, ili kuigeuza mioyo ya baba kuwaelekea watoto wao, na wasiotii warejee katika hekima ya wenye haki, ili kuliweka tayari taifa lililoandaliwa kwa ajili ya Bwana.”
Luke 9:30Ghafula wakawaona watu wawili, ndio Mose na Eliya, wakizungumza naye.