Mark 4:2
Akawafundisha mambo mengi kwa mifano, naye katika mafundisho yake akasema:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he taught them many things by parables, and said unto them in his doctrine,
In Context
3“Sikilizeni! Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu zake.
Cross References
Psalms 78:2Nitafungua kinywa changu kwa mafumbo, 2 nitazungumza mambo yaliyofichika, mambo ya kale: 1
Matthew 13:3Ndipo akawaambia mambo mengi kwa mifano, akisema: “Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu zake.
Matthew 13:34Yesu alinena mambo haya yote kwa makutano kwa mifano. Wala hakuwaambia lolote pasipo mfano.
Mark 4:11Naye akawaambia, “Ninyi mmepewa kujua siri ya Ufalme wa Mungu. Lakini kwa wale walioko nje, kila kitu husemwa kwao kwa mifano,
Mark 12:38Alipokuwa akifundisha, Yesu alisema, “Jihadharini na walimu wa sheria. Wao hupenda kutembea wakiwa wamevaa mavazi marefu, na kusalimiwa kwa heshima masokoni.
John 18:19Wakati huo kuhani mkuu akawa anamuuliza Yesu kuhusu wanafunzi wake na mafundisho yake.