Marko 4:10
Alipokuwa peke yake, watu waliokuwepo naye pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili wakamuuliza kuhusu mifano yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when he was alone, they that were about him with the twelve asked of him the parable.
In Context
Cross References
Matthew 13:10Wanafunzi wake wakamwendea, wakamuuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?”
Mark 4:34Hakusema nao neno lolote pasipo mfano. Lakini alipokuwa na wanafunzi wake, aliwafafanulia kila kitu. 1 Yesu Atuliza Dhoruba (Mathayo 8:23-27; Luka 8:22-25)
Luke 8:9Wanafunzi wake wakamuuliza maana ya mfano huo.