Mark 4:22
Kwa kuwa hakuna kilichofichika ambacho hakitafunuliwa, wala hakuna jambo lolote la siri ambalo halitaletwa nuruni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.”
Cross References
Psalms 40:9Nimehubiri haki katika kusanyiko kubwa, 2 sikufunga mdomo wangu, 2 Ee Bwana, kama ujuavyo. 1
Ecclesiastes 12:14Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, 2 pamoja na kila neno la siri, 2 likiwa jema au baya.
Luke 8:17Kwa maana hakuna jambo lolote lililofichika ambalo halitafichuliwa, wala lolote lililositirika ambalo halitajulikana na kuwekwa wazi.
Acts 4:20Lakini sisi hatuwezi kuacha kusema yale tuliyoyaona na kuyasikia.”
1 Corinthians 4:5Kwa hiyo msihukumu jambo lolote kabla ya wakati wake. Ngojeni mpaka Bwana atakapokuja. Yeye atayaleta nuruni mambo yale yaliyofichwa gizani, na kuweka wazi nia za mioyo ya wanadamu. Wakati huo kila mmoja atapokea sifa anayostahili kutoka kwa Mungu.