The Bible Software
bible.softwareMarkMark 8 › Mark 8:29

Mark 8:29

Akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?” Petro akajibu, “Wewe ndiwe Kristo.” + 8:29 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he saith unto them, But whom say ye that I am? And Peter answereth and saith unto him, Thou art the Christ.

In Context

28Wakamjibu, “Baadhi husema wewe ni Yohana Mbatizaji, wengine husema ni Eliya, na bado wengine husema wewe ni mmojawapo wa manabii.”

30Yesu akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake. 1 Yesu Atabiri Kifo Chake (Mathayo 16:21-28; Luka 9:22-27)

Read all of Mark 8

Cross References

Mark 4:11Naye akawaambia, “Ninyi mmepewa kujua siri ya Ufalme wa Mungu. Lakini kwa wale walioko nje, kila kitu husemwa kwao kwa mifano,

John 1:41Kitu cha kwanza Andrea alichofanya ni kumtafuta Simoni nduguye na kumwambia, “Tumemwona Masiya” (yaani, Kristo).

John 6:69Tunaamini na kujua kuwa wewe ndiwe Aliye Mtakatifu wa Mungu.”

Acts 8:36Walipokuwa wakiendelea na safari wakafika mahali palipokuwa na maji, yule towashi akamuuliza Filipo, “Tazama, hapa kuna maji. Kitu gani kitanizuia nisibatizwe?” [

1 Peter 2:7Kwenu ninyi mnaoamini, jiwe hili ni la thamani. Lakini kwao wasioamini, 1 “Jiwe walilolikataa waashi 2 limekuwa jiwe kuu la pembeni,”

1 John 5:1Kila mtu anayeamini kwamba Yesu ndiye Kristo amezaliwa na Mungu, na yeyote ampendaye Baba humpenda pia mtoto aliyezaliwa naye.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 8:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 8:28Mark 8Mark 8:30 →