The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 13 › Matthew 13:9

Matthew 13:9

Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.” 1 Sababu Ya Kufundisha Kwa Mifano (Marko 4:10-12; Luka 8:9-10)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Who hath ears to hear, let him hear.

In Context

8Mbegu nyingine zilianguka kwenye udongo mzuri ambapo zilitoa mazao, nyingine mara mia moja, nyingine mara sitini, na nyingine mara thelathini.

10Wanafunzi wake wakamwendea, wakamuuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?”

Read all of Matthew 13

Cross References

Matthew 13:16Lakini heri macho yenu kwa sababu yanaona, na heri masikio yenu kwa sababu yanasikia.

Mark 4:23Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.”

Revelation 2:7“Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa haki ya kula matunda toka kwa mti wa uzima, ambao uko katika paradiso + 2:7 Paradiso hapa ina maana ya Bustani, yaani shamba dogo la miti izaayo matunda. ya Mungu. 1 Kwa Kanisa Lililoko Smirna

Revelation 2:17“Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye nitampa baadhi ya ile mana iliyofichwa. Nitampa pia jiwe jeupe ambalo juu yake limeandikwa jina jipya asilolijua mtu, isipokuwa yule anayelipokea. 1 Kwa Kanisa Lililoko Thiatira

Revelation 3:6Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa. 1 Kwa Kanisa Lililoko Filadelfia

Revelation 3:22Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 13:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 13:8Matthew 13Matthew 13:10 →