Matthew 4:11
Ndipo ibilisi akamwacha, nao malaika wakaja na kumhudumia. 1 Yesu Aanza Kuhubiri (Marko 1:14-15; Luka 4:14-15)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then the devil leaveth him, and, behold, angels came and ministered unto him.
In Context
12Yesu aliposikia kwamba Yohana Mbatizaji alikuwa ametiwa gerezani, alirudi Galilaya.
Cross References
1 Kings 19:6Akatazama pande zote, napo hapo karibu na kichwa chake palikuwepo mkate uliookwa kwenye makaa ya moto na gudulia la maji. Akala na kunywa, kisha akajinyoosha tena.
Matthew 26:53Je, unadhani siwezi kumwomba Baba yangu naye mara moja akaniletea zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaika?
Mark 1:13naye akawa huko nyikani kwa muda wa siku arobaini, akijaribiwa na Shetani. Alikaa na wanyama wa mwituni, nao malaika wakamhudumia. 1 Yesu Aanza Kuhubiri
Luke 22:43Malaika kutoka mbinguni akamtokea, akamtia nguvu.
John 14:30Sitasema nanyi zaidi, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu anakuja, naye hana kitu kwangu,
Hebrews 1:6Tena, Mungu amletapo mzaliwa wake wa kwanza ulimwenguni, anasema, 1 “Malaika wote wa Mungu na wamsujudu.”