The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 6 › Matthew 6:21

Matthew 6:21

Kwa sababu mahali hazina yako ilipo, hapo ndipo pia moyo wako utakapokuwa. 1 Jicho Ni Taa Ya Mwili (Luka 11:34-36)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For where your treasure is, there will your heart be also.

In Context

20Lakini jiwekeeni hazina mbinguni, mahali ambapo nondo na kutu haviharibu, wala wevi hawavunji na kuiba.

22“Jicho ni taa ya mwili. Kama jicho lako ni nyofu, mwili wako wote utajaa nuru.

Read all of Matthew 6

Cross References

Isaiah 33:6Atakuwa msingi ulio imara kwa wakati wenu, 2 ghala za wokovu tele, hekima na maarifa; 2 kumcha Bwana ni ufunguo wa hazina hii. 1

Jeremiah 22:17“Lakini macho yako na moyo wako vimeelekezwa tu 2 katika mapato ya udhalimu, 1 kwa kumwaga damu isiyo na hatia, 2 kwa uonevu na ukatili.”

Luke 12:34Kwa sababu mahali hazina yako ilipo, hapo ndipo moyo wako utakapokuwa pia. 1 Kukesha

Romans 7:5Kwa maana tulipokuwa tunatawaliwa na asili ya dhambi, tamaa za dhambi zilizochochewa na sheria zilikuwa zikitenda kazi katika miili yetu, hivyo tulizaa matunda ya mauti.

Colossians 3:1Basi, kwa kuwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu, Kristo alikoketi mkono wa kuume wa Mungu.

Philemon 1:19Ni mimi Paulo, ninayeandika waraka huu kwa mkono wangu mwenyewe. Nitakulipa. Sitaji kwamba nakudai hata nafsi yako.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 6:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 6:20Matthew 6Matthew 6:22 →