Mika 1:10
Usiliseme hili huko Gathi; 2 usilie hata kidogo. 1 Huko Beth-le-Afra 2 gaagaa mavumbini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Declare ye it not at Gath, weep ye not at all: in the house of Aphrah roll thyself in the dust.
In Context
Cross References
2 Samuel 1:20“Msilisimulie hili katika Gathi, 2 msilitangaze hili katika 2 barabara za Ashkeloni, 1 binti za Wafilisti wasije wakafurahia, 2 binti za hao wasiotahiriwa 2 wasije wakashangilia. 1
Jeremiah 6:26Enyi watu wangu, vaeni magunia 2 mjivingirishe kwenye majivu, 1 ombolezeni kwa kilio cha uchungu 2 kama amliliaye mwana pekee, 1 kwa maana ghafula 2 mharabu atatujia. 1
Amos 5:13Kwa hiyo mtu mwenye busara hunyamaza kimya nyakati kama hizo, 2 kwa kuwa nyakati ni mbaya. 1