Mika 1:9
Kwa sababu jeraha lake halitibiki; 2 limekuja Yuda. 1 Limefika hasa kwenye lango la watu wangu, 2 hata Yerusalemu kwenyewe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Usiliseme hili huko Gathi; 2 usilie hata kidogo. 1 Huko Beth-le-Afra 2 gaagaa mavumbini. 1
Cross References
2 Kings 18:13Katika mwaka wa kumi na nne wa utawala wa Mfalme Hezekia, Senakeribu mfalme wa Ashuru akaishambulia miji yote ya Yuda yenye ngome na kuiteka.
Isaiah 1:5Kwa nini mzidi kupigwa? 2 Kwa nini kudumu katika uasi? 1 Kichwa chako chote kimejeruhiwa, 2 moyo wako wote ni mgonjwa. 1
Isaiah 8:7kwa hiyo Bwana yu karibu kuleta dhidi yao 2 mafuriko makubwa ya Mto: + 8:7 Yaani Frati. 2 yaani mfalme wa Ashuru na fahari yake yote. 1 Yatafurika juu ya mifereji yake yote, 2 yatamwagikia juu ya kingo zake zote, 1
Isaiah 10:32Siku hii ya leo watasimama Nobu; 2 watatikisa ngumi zao 1 kwa mlima wa Binti Sayuni, 2 kwa kilima cha Yerusalemu. 1
Isaiah 36:2Kisha mfalme wa Ashuru akamtuma jemadari wa jeshi pamoja na jeshi kubwa kutoka Lakishi hadi kwa Mfalme Hezekia huko Yerusalemu. Jemadari wa jeshi akasimama kwenye mfereji wa Bwawa la Juu, lililojengwa katika barabara iendayo kwenye Uwanja wa Dobi.
Jeremiah 15:18Kwa nini maumivu yangu hayakomi, 2 na jeraha langu ni la kuhuzunisha, 2 wala haliponyeki? 1 Je, utakuwa kwangu kama kijito cha udanganyifu, 2 kama chemchemi iliyokauka?