The Bible Software
bible.software › Mika › Mika 1 › Mika 1:11

Mika 1:11

Piteni mkiwa uchi na wenye aibu, 2 ninyi mkaao Shafiri. 1 Wale waishio Saanani 2 hawatatoka nje. 1 Beth-Eseli iko katika maombolezo; 2 kinga yake imeondolewa kwako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Pass ye away, thou inhabitant of Saphir, having thy shame naked: the inhabitant of Zaanan came not forth in the mourning of Beth-ezel; he shall receive of you his standing.

In Context

10Usiliseme hili huko Gathi; 2 usilie hata kidogo. 1 Huko Beth-le-Afra 2 gaagaa mavumbini. 1

12Wale waishio Marothi wanagaagaa kwa maumivu 2 wakingoja msaada, 1 kwa sababu maangamizi yamekuja 2 kutoka kwa Bwana, 2 hata katika lango la Yerusalemu. 1

Read all of Mika 1

Cross References

Isaiah 16:2Kama ndege wanaopapatika 2 waliofukuzwa kutoka kwenye kiota, 1 ndivyo walivyo wanawake wa Moabu 2 kwenye vivuko vya Arnoni. 1

Isaiah 47:2Chukua mawe ya kusagia, usage unga, 2 vua shela yako. 1 Pandisha mavazi yako, ondoa viatu vyako, 2 vuka vijito kwa shida. 1

Jeremiah 48:6Kimbieni! Okoeni maisha yenu, 2 kuweni kama kichaka jangwani. 1

Ezekiel 16:37kwa hiyo nitawakusanya wapenzi wako wote, wale ambao ulijifurahisha nao, wale uliowapenda na wale uliowachukia pia. Nitawakusanya wote dhidi yako kutoka pande zote na nitakuvua nguo mbele yao, nao wataona uchi wako wote.

Micah 1:8Kwa ajili ya hili nitalia na kuomboleza; 2 nitatembea bila viatu na tena uchi. 1 Nitabweka kama mbweha 2 na kuomboleza kama bundi. 1

Zechariah 14:5Nanyi mtakimbia kupitia katika bonde hilo la mlima wangu kwa kuwa litaenea hadi Aseli. Mtakimbia kama mlivyokimbia tetemeko la ardhi katika siku za Uzia mfalme wa Yuda. Kisha Bwana Mungu wangu atakuja na watakatifu wote pamoja naye.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mika 1:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mika 1:10Mika 1Mika 1:12 →