The Bible Software
bible.softwareMikaMika 1 › Mika 1:5

Mika 1:5

Yote haya ni kwa sababu ya kosa la Yakobo, 2 ni kwa sababu ya dhambi za nyumba ya Israeli. 1 Kosa la Yakobo ni lipi? 2 Je, sio Samaria? 1 Je, mahali pa juu pa Yuda pa kuabudia miungu ni nini? 2 Je, sio Yerusalemu? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the transgression of Jacob is all this, and for the sins of the house of Israel. What is the transgression of Jacob? is it not Samaria? and what are the high places of Judah? are they not Jerusalem?

In Context

4Milima inayeyuka chini yake 2 na mabonde yanagawanyika 1 kama nta mbele ya moto, 2 kama maji yatiririkayo kasi 2 kwenye mteremko. 1

6“Kwa hiyo nitaufanya Samaria kuwa lundo la kokoto, 2 mahali pa kuotesha mizabibu. 1 Nitayamwaga mawe yake katika bonde 2 na kuacha wazi misingi yake. 1

Read all of Mika 1

Cross References

1 Kings 13:32Kwa maana ujumbe alioutangaza kwa neno la Bwana dhidi ya madhabahu huko Betheli na dhidi ya madhabahu yote katika mahali pa juu pa kuabudia miungu katika miji ya Samaria, hakika yatatokea kweli.”

2 Kings 16:3Akaenenda katika njia za wafalme wa Israeli, na hata akamtoa mwanawe kafara katika moto, akifuata njia za machukizo za mataifa ambayo Bwana alikuwa ameyafukuza mbele ya Waisraeli.

2 Kings 17:7Yote haya yalitokea kwa sababu Waisraeli walikuwa wametenda dhambi dhidi ya Bwana Mungu wao, ambaye alikuwa amewapandisha kutoka Misri akiwatoa chini ya utawala wa nguvu wa Farao mfalme wa Misri. Waliabudu miungu mingine

2 Chronicles 28:2Akaenenda katika njia za wafalme wa Israeli, na pia akasubu sanamu kwa ajili ya kuabudu Mabaali.

2 Chronicles 28:23Akatoa kafara kwa miungu ya Dameski, waliokuwa wamemshinda, kwa kuwa aliwaza, “Kwa kuwa miungu ya mfalme wa Aramu imewasaidia wao, nitaitolea dhabihu ili inisaidie na mimi.” Lakini haya ndiyo yaliyokuwa maangamizi yake na Israeli wote.

Isaiah 50:1Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Iko wapi hati ya talaka ya mama yako 2 ambayo kwayo niliachana naye? 1 Au nimewauza ninyi kwa nani 2 miongoni mwa watu wanaonidai? 1 Kwa ajili ya dhambi zenu mliuzwa, 2 kwa sababu ya makosa, mama yenu aliachwa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mika 1:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mika 1:4Mika 1Mika 1:6 →